Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Makumi ya watu wameuawa na mamia ya wengine kujeruhiwa katika mripuko wa bomu ulioutikisa mji wa Kabul karibu na ubalozi wa Marekani nchini Afghanistan mapema leo.
Zilzala ya pili yenye ukubwa wa 7.3 kwa kipimo cha rishta imeutikisa mji wa Kumamoto, katika kisiwa cha Kyushu eneo la kusini mwa Japan mapema leo na kusababisha vifo vya …
Kwa akali watu 84 wamepoteza maisha na wengine zaidi ya 200 kujeruhiwa katika mkasa wa moto uliotokea mapema leo katika mji bandari wa Kollam, kusini mwa India.
Kwa akali watu 52 wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa kwenye mripuko wa bomu uliotikisa mji wa Lahore, kaskazini mashariki mwa Pakistan.
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran, Muhammad Javad Zarif amekutana na kufanya mazungumzo na Prayut Chan-o-cha, Waziri Mkuu wa Thailand jijini Bangkok, kuhusu uhusiano wa pande mbili.
Jumatano, 02 Machi 2016 10:45

Waislamu India wapinga uchochezi wa Wahindu

Waislamu wa India wamefanya maandamano mjini New Delhi wakipinga vitendo vya kichochezi vinavyofanywa na Wahindu wenye misimamo mikali.
Televisheni ya Japan imetangaza kuwa, Korea Kaskazini imejiandaa kwa ajili ya kufyatua kombora jipya la balestiki.
Mkuu wa Ofisi ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema: "Marekani na Israel ndilo chimbuko la makundi la kigaidi na kitakfiri."
Jumanne, 05 Januari 2016 06:51

Mamia waandamana Indonesia kulaani Aal Saudi

Mamia ya watu wamefanya maandamano mbele ya ubalozi wa Saudia nchini Indonesia, katika kulaani kitendo cha kuuawa shahidi Sheikh Nimr Baqir al-Nimr kilichofanywa na watawala wa Aal Saud
Jumanne, 15 Disemba 2015 11:28

Kashmir yapongeza barua ya Kiongozi Muadhamu

Baruaya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei kwa vijana wa Magharibi imeendelea kumimiwa sifa na kupongezwa kote duniani. Wananchi wa eneo la Kashmir ambalo liko chini …
Jumatatu, 23 Novemba 2015 11:50

Daesh yatishia kufanya mashambulizi Bangladesh

Kundi la kigaidi la Daesh limetishia kufanya mashambulizi nchini Bangladesh.Shirika la habari la IRNA limeripoti kuwa, kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh limetangaza kwenye gazeti lake la Dabiq kuwa …
Maelfu ya wananchi wa Afghanistan wamefanya maandamano kupinga wimbi la mauaji ya kiholela dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia, linaloendelezwa na kundi la kitakfiri la Daesh. Waandamanaji hao waliomiminika …
Ijumaa, 06 Novemba 2015 08:46

MSF: Marekani ilikusudia kuua watu Kunduz

Jumuiya ya Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) imetangaza kuwa shambulizi lililofanywa na ndege za kivita za Marekani dhidi ya hospitali ya jumuiya hiyo katika mji wa Kunduz nchini Afghanistan lilifanyika …
Ijumaa, 06 Novemba 2015 08:44

Wasaudia waandamana kumtetea Sheikh Nimr

Wananchi wa maeneo ya mashariki mwa Saudi Arabia wamefanya maandamano wakimuunga mkono mwanazuoni wa Kishia anayehukumiwa kifo na mahakama za Saudia Arabia, Sheikh Nimr Baqir al Nimr baada ya kukosoa …
Shirika la Madaktari Wasio na Mipaka MSF, kwa mara nyingine tena limekosoa shambulizi la anga lililofanywa na jeshi la Marekani dhidi ya hospitali moja nchini Afghanistan.Akizungumza mjini New York nchini …
Jeshi la polisi nchini Uturuki limekandamiza maandamano ya Wakurdi waliomiminika barabarani kupinga matokeo ya uchaguzi nchini humo. Shirika la habari la Ufaransa limeripoti habari hiyo na kuongeza kuwa, maandamano hayo …
Idadi ya watu waliofariki dunia baada ya mtetemeko mkubwa wa ardhi uliokuwa na ukubwa wa 7.7 kwa kipimo cha rishta kuyakumba maeneo kadhaa ya  Pakistan na Afghanistan hapo juzi imeongezeka …
Wizara ya Ulinzi ya China imetangaza kuwa, meli zake za kivita zimeifurusha meli ya kivita ya Marekani baada ya meli hiyo kuingia katika maji karibu na kisiwa kinachogombaniwa cha bahari …
Mtetemeko mkubwa wa ardhi uliokuwa na nguvu ya 7.5 kwa kipimo cha Rishta umetokea leo katika majira ya karibu saa nane mchana katika nchi kadhaa za Asia zikiwemo Afghanistan, Pakistan, …
Rais Barack Obama wa Marekani, amekiuka ahadi yake ya kuondoa majeshi ya nchi yake huko Afghanistan kufikia mwishoni mwa mwaka ujao na badala yake ametangaza kwamba wanajeshi hao wataendela kuwepo …
Page 1 of 8

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …