Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jumatano, 20 Aprili 2016 07:15

Matangazo machafu ya biashara marufuku Kenya

Bodi ya Filamu nchini Kenya imepiga marufuku matangazo ya biashara yanayokiuka maadili mema katika redio, televisheni na maeneo ya umma nchini humo.
Waasi wa eneo lenye utajiri wa mafuta la Niger Delta nchini Nigeria wametishia kwamba watazidisha mashambulizi yao dhidi mabomba na taasisi za mafuta ya petroli nchini humo.
"Kifo cha kiongozi wa upinzani aliyekuwa kizuizini nchini Gambia lazima kichunguzwe na kuwapa tiba majeruhi waliokuwa wakiandamana kwa amani ambao bado wako kizuizini", amesema Kamisha Mkuu wa Haki za Binadamu …
Ujumbe wa askari wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo MONUSCO umetangaza kuwa, umepokea ripoti mpya kuhusu tuhuma za ubakaji zinazowakabili askari wake huko …
Rais Abdel Fattah al-Sisi wa Misri amesema kuwa, endapo jeshi la serikali mpya ya Libya chini ya Jenerali Khalifah Haftar, halitoungwa mkono basi kuna uwezekano mkubwa kutokea uingiliaji kijeshi wa …
Umoja wa Afrika umetoa radiamali yake juu ya shambulizi la watu wenye silaha katika eneo la mpakani la nchi hiyo.
Jumanne, 19 Aprili 2016 12:20

Askari wa Umoja wa Mataifa auawa CAR na LRA

Askari wa kulinda Amani wa Umoja wa Mataifa ameuawa katika hujuma ya waasi huko Jamhuri ya Afrika ya Kati.
Kiongozi wa upinzani wa Sudan Kusini anatazamiwa kuwasili katika mji mkuu wa nchi hiyo Juba hii leo, kwa shabaha ya kuunda serikali ya umoja wa kitaifa akishirikiana na Rais Salva …
Jumatatu, 18 Aprili 2016 21:27

Al Shabab 14 watiwa mbaroni nchini Somalia

Wizara ya Usalama wa Taifa ya Somalia imesema kuwa, nchi hiyo imeshadidisha operesheni zake za kiusalama na kijasusi dhidi ya kundi la al Shabab, operesheni ambazo zimefanikisha kutiwa mbaroni wanamgambo …
Serikali ya Ethiopia imetangaza kuwa idadi ya watu waliouliwa katika shambulio lililofanywa magharibi mwa nchi hiyo na Wasudan Kusini waliobeba silaha imeongezeka na kufikia 208 na watoto 108 wametekwa nyara.
Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema, serikali ya Jamhuri ya Kongo ilishambulia kwa makusudi maeneo ya raia kusini mwa nchi hiyo na kuua watu wasiopungua 30.
Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) umeanza kujenga kituo chake cha kwanza cha kijeshi nje ya nchi huko Eritrea.
Marais wa Ufaransa na Misri wamesisitiza kuwa upo udharura wa kuimarisha ushirikiano wa kimataifa dhidi ya ugaidi.
Jumatatu, 18 Aprili 2016 11:41

Wanachama 4 wa chama tawala Burundi wauawa

Afisa mmoja wa Burundi amesema kuwa wanachama wanne wa chama tawala cha nchi hiyo wameuawa kwenye shambulio katika ghasia zinazoendelea kuhusiana na kurefushwa muhula wa kusalia madarakani Rais Pierre Nkurunziza …
Mapigano yaliyotokea baina ya polisi na raia wa kusini mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo yamesababisha mauaji ya watu kadhaa.
Angola hivi sasa imekuwa nchi ya kwanza inayozalisha mafuta kwa wingi barani Afrika.
Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia AMISOM kimetoa taarifa rasmi ya kuomba msamaha kwa kuua 'kimakosa' raia wanne wa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
Mkuu wa kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amewatolea wito viongozi wa kisiasa wa nchi hiyo kushiriki mazungumzo ya kitaifa ya nchi …
Serikali ya Ethiopia imesema raia wake 140 wameuawa na kundi la wabeba silaha kutoka Sudan Kusini katika jimbo la Gambela katika mpaka wa nchi mbili hizo.
Kongamano la usalama wa bara la Afrika lililoanza jana katika mji wa Bahir Dar nchini Ethiopia linaendelea kufanyika huku changamoto za usalama zikiwa ndio ajenda kuu za mkutano huo.

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …