Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Ijumaa, 22 Aprili 2016 12:35

Hisham: Uundwe muungano dhidi ya mabeberu

Katibu Mkuu wa chama cha Progressive nchini Tunisia, Hisham Hassani, amesisitizia umuhimu wa kuundwa muungano wa nchi za Algeria, Tunisia, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Russia kwa ajili ya …
Rais Idriss Déby wa Chad ametangazwa kuwa mshindi wa uchagumzi mkuu uliofanyika hivi karibuni nchini Chad.
Watu 7 wameripotiwa kuuawa na wengine zaidi ya 10 kujeruhiwa katika mripuko wa bomu uliotokea katika mji wa Darnah, nchini Libya.
Washiriki wa kikao cha Senagal wametaka kuimarishwa demokrasia kwa ajili ya vizazi vya sasa na vijavyo barani Afrika.
Kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram nchini Nigeria, limefanya shambulizi dhidi ya kijiji kimoja kaskazini mashariki mwa nchi hiyo na kuua wati kadhaa.
Muungano wa upinzani nchini Kenya CORD umewataka raia wan chi hiyo, kusahau fedha zilizotokana na mkopo wa Eurobond kwa kudai kuwa, ni suala lisilo na shaka kwamba fedha hizo zimeshapotea. …
Maelfu ya wahanga wa machafuko nchini Ivory Coast watalipwa fidia kutokana na madhara waliyopata kwenye machafuko hayo.
Shirika la Waandishi wa Habari Wasio na Mipaka limeelezea masikitiko yake kwa kuendelea kubanwa uhuru wa vyombo vya habari huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Bunge la Uganda limearifiwa kuwa wanawake 12 raia wa nchi hiyo wanashikiliwa chini ya mazingira magumu nchini Saudi Arabia.
Alkhamisi, 21 Aprili 2016 19:53

Umwagaji damu waendelea Burundi, wanne waua

Watu wanne wameuawa katika matukio mawili tofauti katika kile kinachoonekana ni mauaji ya kulipiza kisasi kati ya maafisa wa serikali na waasi nchini Burundi.
Afisa mmoja wa jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amesema kuwa wanajeshi wa Rwanda wameingia katika ardhi ya nchi hiyo.
Umoja wa Mataifa umethibitisha kuwa, mamia ya wahamiaji haramu wamezama katika maji ya pwani ya Libya baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kuzama baharini.
Kundi la wanaharakai wa kutetea haki za binadamu nchini Uingereza limeanzisha wimbi kubwa la malalamiko katika mitandao ya kijamii likitaka kuachiwa huru kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria, Sheikh …
Polisi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imewashambulia waandamanaji waliokuwa wakipinga kuahirishwa tarehe ya uchaguzi mkuu wa nchi hiyo.
Mji mkuu wa Zambia Lusaka umeendelea kushuhudia ghasia za chuki dhidi ya wageni na ripoti zinasema raia wawili wa Rwanda wameuawa kwa kuchomwa moto.
Jumuiya ya Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) imeonya juu ya uzembe wa nchi za magharibi na katikati mwa Afrika katika mapambano dhidi ya maambukizi ya virusi vya Ukimwi.
Watu wasiopungua 13 wamepoteza maisha katika mapigano baina ya jeshi la serikali na kundi la wanamgambo eneo la mashariki mwa nchi hiyo.
Chama kimoja cha upinzani nchini Misri kimempelekea mahakamani Rais Abdul Fattah al-Sisi wa nchi hiyo kufuatia uamuzi wake wa kukabidhi umiliki wa visiwa viwili vya kiistratejia kwa utawala wa Saudi …
Serikali ya Sudan Kusini imesema imelazimika kuzuia ndege ya Riek Machar, kiongozi wa upinzani wa nchi hiyo kutua katika uwanja wa ndege wa Juba kutokana na madai kuwa alitaka kungiza …
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limesema limetiwa wasiwasi mkubwa na kushindwa kiongozi wa waasi wa Sudan Kusini, Riek Machar kurejea nchini humo kushika cheo chake cha zamani cha …

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …