Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Waziri wa Nishati na Madini nchini Tanzania, Profesa Sospeter Muhongo amesema kuwa, miundombinu ya Tanzania na usalama ni moja ya mambo yaliyowezesha Tanzania kukabidhiwa mradi wa ujenzi wa bomba la …
Umoja wa Afrika na serikali ya Somalia, zimejadili mwenendo mpya wa kukabiliana na wimbi la ugaidi katika eneo la Pembe ya Afrika.
Jamii ya wanasheria nchini Ireland, imewawajibisha mawakili na washauri wa sheria Waislamu kutumia Qur'ani Tukufu wakati wa kula kiapo.
Jumatatu, 25 Aprili 2016 08:34

Machafuko DRC yakwamisha misaada kwa wahanga

Ofisi ya uratibu wa misaada ya kibinadamu ya Umoja wa Mataifa imesema kuwa, hali mbaya na machafuko huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ni kikwazo kikuu cha kuwafikishia …
Kundi la waasi la Lord's Resistance Army la Uganda liliwateka watu 296 katika Jamuhuri ya Afrika ya Kati na Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo katika robo ya kwanza ya mwaka …
Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ameonana na Ban Ki mooon, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na kujadiliana naye hali ya kisiasa na kiusalama ya nchi …
Duru za usalama nchini Mali zimesema kuwa, watu wenye silaha wamewavamia wanajeshi wa serikali kaskazini mwa nchi hiyo na kuua wanajeshi wawili.
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amempokea rasmi mwenzake wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, ikiwa ni safari ya kwanza kwa rais huyo kuitembelea nchi hii tangu baada …
Kinara wa upinzani nchini Afrika Kusini ameonya kuwa, wapinzani wako tayari kuipindua serikali ya Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo hata kwa mtutu wa bunduki.
Kiongozi wa waasi wa Sudan Kusini Riek Machar amesema binafsi anatamani kusafiri kwenda mji mkuu wa nchi hiyo Juba lakini serikali ya Rais Salva Kiir ndio imemnyima kibali cha kuingia …
Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imeishtaki serikali na jeshi la nchi hiyo kwa kuendelea kumshikilia kinyume cha sheria kiongozi wa harakati hiyo Sheikh Ibrahim Zakzaky.
Serikali ya Mali imetangaza kuwa imemtia nguvuni mwanachama wa kundi lenye mfungamano na mtandao wa kigaidi wa al-Qaeda ambalo lilidai kuhusika na mashambulio ya kigaidi yaliyoua makumi ya watu nchini …
Jeshi la Rwanda limekanusha madai kwamba, wanajeshi wake wameingia katika ardhi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa ajili ya kuwasaka waasi wa Kihutu walioko katika nchi hiyo.
Mahakama ya Rufaa ya Mauritania imepasisha hukumu ya kifo dhidi ya mwandishi aliyemvunjia heshima Mtume Muhammad (saw).
Jumamosi, 23 Aprili 2016 08:51

UNHCR: Warundi wanazidi kuikimbia nchi yao

Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia wakimbizi (UNHCR), limetangaza kuwa idadi ya wakimbizi wa Burundi wanaoomba hifadhi nchi jirani inaongezeka na sasa imefikia 260,000.
Jumuiya ya Maripota Wasio na Mipaka (RSF) imewakosoa viongozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwa kuwakandamiza waandishi habari.
Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini anatazamiwa kuwasili nchini Iran Jumamosi ya leo akiongoza ujumbe wa ngazi za juu wa kisiasa na kiuchumi.
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya leo ameidhinisha sheria zitakatambua pufya au doping kuwa kosa la jinai.
Waziri mkuu mstaafu wa Tanzania Jaji Joseph Warioba, amesema kuwa uchaguzi mkuu wa mwaka jana 2015, ulifanyika kwa haki huku akivitaka vyama vya siasa kufuata demokrasia. Aidha Wariobaamewataka viongozi wa …
Mwakilishi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa, Samantha Power amedai kuwa, Washington imepanga kuisaidia Nigeria katika kuwakomboa wasichana waliotekwa nyara na wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh …

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …