Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Umoja wa Ulaya EU umeanza kutekeleza mpango wa kuwawekea vikwazo viongozi wa kisiasa wanaopinga Serikali ya Umoja wa Kitaifa nchini Libya.
Kundi la kigaidi la Boko Haram nchini Nigeria limetupilia mbali pendekezo lolote la serikali ya nchi hiyo la kutaka lijisalimishe.
Mahakama ya Misri imewahukumu wanafunzi kadhaa wanaoipinga serikali ya nchi hiyo, kifungo cha miaka 15 jela.
Duru za habari nchini Misri zimearifu kuwa, Mkuu wa Idara ya Mahesabu ya Taifa aliyeuzuliwa siku chache zilizopita na Rais Abdel Fattah el-Sisi, amewekwa katika kizuzi cha nyumbani nchini humo.
Watu kadhaa wameuawa na kujeruhiwa katika mapigano mapya yaliyozuka mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Habari kutoka Libya zinaarifu kuwa, miji kadhaa imeendelea kutangaza uungaji mkono wao kwa serikali mpya ya umoja wa kitaifa. Hayo yamethibitishwa na meya wa mji wa Sabratha, kaskazini magharibi mwa …
Ijumaa, 01 Aprili 2016 12:24

UN yahitaji $M 105 kuokoa maisha Somalia

Mashirika ya kutoa misaada ya kibinadamu nchini Somalia yamezindua ombi la msaada wa dola milioni 105 kwa minajili ya kunusuru maisha na kujenga uthabiti wa zaidi ya watu milioni moja …
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetoa mwito wa kuyanyang'anya silaha makundi yote yenye silaha yaliyoko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Rwanda imeitaka serikali ya Burundi kueleza chanzo cha kifo cha balozi wa zamani wa nchi hiyo nchini Ubelgiji na Ufaransa Jacques Bihozagara.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, amekaribisha kuwasili kwa Baraza la Urais la Libya mjini Tripoli mnamo Machi 30, 2016, akitaja kuwasili huko kama hatua muhimu katika kutekeleza …
Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya inayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa imeonya kuwa itakabidhi majina ya wapinzani wa serikali hiyo kwa Polisi ya Kimataifa Interpol na kuwahusisha na …
Watu wawili wameuawa na wengine 15 wamejeruhiwa wakati ulipotokea mripuko ndani ya msikiti katika mji wa Beledweyne mkoani Hiiraan katikati mwa Somalia hapo jana.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amesema ameshtushwa na ripoti za matukio mapya ya kashfa za unyanyasaji wa kingono uliofanywa na askari wa kulinda amani wa umoja huo …
Kiongozi anayeshukiwa kuwa wa wanamgambo wenye kufurutu ada wa kusini mwa Mali ametiwa mbaroni na vikosi maalumu na kupelekwa Bamako mji mkuu wa nchi hiyo.
Mahakama ya Juu ya Afrika Kusini imemuagiza Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo kuirejeshea serikali sehemu ya dola milioni 16 za Marekani zilizotumika kukarabati makazi yake binafsi, kwenye moja ya …
Mahakama ya Juu ya Uganda imetupilia mbali kesi iliyowasilishwa na Waziri Mkuu wa zamani nchini humo Amama Mbabazi ya kupinga ushindi wa Rais Yoweri Museveni katika uchaguzi wa rais wa …
Maelfu ya wakimbizi wa Mali waliokimbilia katika nchi jirani ya Burkina Faso wanakabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula na kwa sasa wako katika hatari ya kukumbwa na baa la njaa.
Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch limetoa ripoti inayoonesha kuwa, kundi la kigaidi la Boko Haram liliwateka mamia ya wanawake na watoto katika mji wa Damasak …
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio la kuongezewa muda wa kuhudumu kikosi cha kusimamia amani cha Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (MONUSCO).
Alkhamisi, 31 Machi 2016 08:55

Kesi ya ubadhirifu ya Zuma kusikilizwa leo

Mahakama ya juu ya Afrika Kusini itaamua leo Alhamisi kama Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo alikiuka katiba kuhusu matumizi ya fedha za umma zilizotumika kukarabati makazi yake binafsi, uamuzi …

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …