Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Kiongozi wa kundi la kigaidi la Daesh katika mji wa Sirte huko kaskazini mwa Libya ametishia kuishambulia serikali ya umoja wa kitaifa ya nchi hiyo.
Umoja wa Mataifa umesisitiza kuwa upo ulazima wa kutolewa haraka misaada kwa raia wa Sudan na kutahadharisha kuhusu mgogoro wa chakula unaoikabili nchi hiyo.
Raia wa Tanzania aliyejiunga na kundi la al Shabaab la nchini Somalia amenyongwa na kundi hilo kwa tuhuma za ujasusi.
Watu wawili wameaga dunia baada ya kuangukiwa na kifusi kwenye machimbo haramu ya dhahabu hapo juzi huko katika mkoa wa Geita.
Kaimu Kiongozi wa Harakati ya Ikhwanul Muslimin ya Misri amesema kuwa harakati hiyo itaendelea kufanya maandamano na kuwasilisha malalamiko yake kwa njia ya amani.
Jumapili, 03 Aprili 2016 18:15

Wakazi wa Lubumbashi wahofia silaha nzito

Wakazi wa eneo moja la kusini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamesema wana wasiwasi kuhusu uwezekano wa kuingizwa silaha nzito katika eneo hilo.
Jumapili, 03 Aprili 2016 18:12

Naibu kinara wa Boko Haram akamatwa

Naibu kinara wa kundi la kigaidi la Boko Haram nchini Nigeria amekamatwa katika oparesheni ya vikosi vya usalama nchini humo.
Gazeti moja linalochapishwa nchini Uingereza limeripoti kuwa Algeria imekuwa mwenyeji wa makumi ya maelfu ya wakimbizi kutoka Syria, Libya na Mali.
Serikali ya Tanzania imesema kuwa, imeanzisha uchunguzi kuhusu madai ya kubaka yanayodaiwa kufanywa na wanajeshi wa nchi hiyo katika nchi jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Chama kikuu cha uopinzani nchini Burundi kimelalamikia hatua ya serikali ya nchi hiyo ya kukubaliana na azimio la Umoja wa Mataifa la kutotuma wanajeshi wa kulinda amani nchini humo, na …
Msemaji wa kisima cha mafuta cha al Bida huko Benghazi, kaskazini mashariki mwa Libya amesema kuwa, kundi la kigaidi la Daesh limeshambulia eneo hilo la kuchimba mafuta.
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa, makumi ya watu wamepoteza maisha nchini Niger kutokana na ugonjwa wa uti wa mgongo.
Taasisi ya hifadhi ya maliasili nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, imesema msitu wa Virunga unaongoza kwa machafuko yanayosababishwa na wanamgambo mbalimbali wa waasi nchini humo.
Shirika la Taifa la Mafuta la Libya limetangaza rasmi kuwa liko pamoja na serikali mpya ya umoja wa kitaifa inayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa.
Jumamosi, 02 Aprili 2016 21:04

Mauaji ya Garissa yakumbukwa kwa maandamano

Mamia ya wanafunzi na wakazi wa mji wa Garissa nchini Kenya, wamefanya maandamano ya kulaani hujuma ya kundi la kigaidi la ash-Shabab katika chuo kikuu cha mji huo mwaka mmoja …
Rais wa Niger ameanza rasmi kazi zake katika kipindi kingine cha urais baada ya kula kiapo leo Jumamosi.
Mwanaharakati maarufu anayepinga ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini amemtaka Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo ang'oke madarakani haraka iwezekanavyo.
Wizara ya Ulinzi ya Misri imetangaza kuwa, vikosi vya ulinzi vya nchi hiyo vimeua magaidi wasiopungua 65 katika mkoa wa Sinai Kaskazini.
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepasisha azimio la kutuma kikosi cha maafisa wa polisi wa umoja huo nchini Burundi kwa lengo la kudhibiti hali ya mambo nchini humo.
Tume Huru ya Kutetea Haki za Binadamu nchini Buundi imeelezea wasi wasi wake kuhusiana na hali ya kiusalama na kisiasa nchini Burundi na kuongeza kwamba mamia ya watu wamekwishauawa kufikia …

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …