Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Umoja wa Mataifa umepongeza hatua ya Riek Machar, kiongozi wa upinzani wa Sudan Kusini kurejea katika mji mkuu wa nchi hiyo changa zaidi barani Afrika na kuunda serikali na Rais …
Jumatano, 27 Aprili 2016 19:02

Watu 11 wauwa kwa kupigwa risasi Cape Verde

Watu 11 wakiwemo askari wanane wameuawa kwa kufyatuliwa risasi viungani mwa mji mkuu wa kisiwa cha Cape Verde.
Mkuu wa vikosi vya Kiafrika vya kupambana na kundi la kigaidi la Boko Haram amezitaka nchi zinazoshiriki katika operesheni ya kijeshi dhidi ya wanamgambo hao kufungamana na ahadi zao.
Jumatano, 27 Aprili 2016 11:55

Wanamgambo waua na kujeruhi huko Madagascar

Watu wenye silaha wamefanya shambulizi magharibi mwa Madagascar na kuua watu wawili na kujeruhi wengine kadhaa katika eneo hilo.
Polisi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imekadhibisha tuhuma kwamba ilihusika na ufyatuaji risasi dhidi ya wafuasi wa Moïse Katumbi, gavana wa zamani wa mkoa wa Katanga ambaye pia ni …
Kwa mara nyingine tena Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeonyesha wasi wasi wake mkubwa juu ya hali ya mambo nchini Somalia.
Shirika la Afya Duniani WHO limesema wasafiri wote wanaoenda nchini Angola wanahitaji kupata chanjo ya homa ya manjano ili kuthibitisha wamejikinga na kuzuia kuisambaza zaidi.
Polisi ya Misri imewatia mbaroni mamia ya waandamanaji wanaopinga hatua ya Rais Abdel Fattah el-Sisi wa nchi hiyo ya kuipatia Saudia visiwa viwili ambavyo ni mali ya nchi hiyo ya …
Kiongozi wa ngazi ya juu wa chama cha Forum for Democratic Change (FDC) nchini Uganda, ambacho ni chama cha upinzani dhidi ya serikali, amesisitizia kufanyika maandamano dhidi ya serikali nchini …
Kiongozi wa waasi Sudan Kusini Riek Machar amewasili katika mji mkuu wa nchi hiyo, Juba na kuapishwa kuwa makamu wa rais wa nchi hiyo.
Wapiganaji wa kundi la kigaidi na kitakfiri la ash-Shabab nchini Somalia wameuawa na askari wa serikali, kaskazini mwa nchi hiyo.
Matokeo ya awali ya uchaguzi mkuu nchini Equitorial Guinea yanaonyesha kuwa Rais Teodoro Obiang Nguema ameshinda kiti hicho kwa kupata asilimia 98 ya kura zilizopigwa.
Umoja wa Mataifa umeonya kuwa unakabiliwa na uhaba mkubwa wa fedha za kuwasaidia maelfu ya wakimbizi wa Sudan Kusini na haswa ambao wamekimbilia nchi jirani ya Sudan.
Umoja wa Mataifa umeelezea wasi wasi wake kuhusu kuongezeka taharuki na uhasama wa kisiasa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Jumatatu, 25 Aprili 2016 21:04

CORD wapigwa mabomu ya kutoa machozi Kenya

Viongozi wa Muungano wa CORD wa Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya Raila Odinga na wafuasi wao wamekumbwa na zahama kubwa leo baada ya polisi kuwafyatulia mabomu ya kutoa machozi …
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa, kuna uwezekano ugonjwa wa malaria utaangamizwa kabisa ifikapo mwaka 2020.
Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC imefungua faili maalumu la kufuatilia hali ya kisiasa na kiusalama ya Burundi.
Jeshi la Nigeria limetangaza kuwa, limewauwa wanachama wasiopungua 10 wa kundi la kigaidi la Boko Haram mashariki mwa jimbo la Borno lililoko kaskazini mashariki mwa nchi hiyo ya magharibi mwa …
Watu wasiopungua 14 wameuawa nchini Ethiopia na makumi ya wengine kujeruhiwa baada ya kuzuka mapiganao makali ya kikabila katika eneo moja nchini humo.
Jumatatu, 25 Aprili 2016 11:25

Wapinzani DRC wataka uchaguzi mwaka huu

Wapinzani wa serikali katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wametoa wito wa kufanyika uchaguzi mkuu wa nchi hiyo Novemba mwaka huu kama ilivyokuwa imepangwa hapo awali.

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …