Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Waziri wa Afya wa Angola ametangaza kuwa, idadi ya watu waliopoteza maisha yao nchini humo kwa homa ya manjano imeongezeka na kufikia 225.
Chuo Kikuu cha Kiislamu nchini Misri, kimelaani vikali jinai ya kibaguzi na chuki dhidi ya dini ya Uislamu iliyofanywa na mtu mmoja mwenye misimamo ya kufurutu ada mjini Brussels, Ubelgiji …
Maelfu ya watu wamekuwa wakimbizi kutokana na mashambulizi ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram, kaskazini mwa Cameroon. Hayo yamethibitishwa na mkuu wa kitengo kinachoshughulikia masuala …
Jumatano, 06 Aprili 2016 18:08

Ongezeko la waasi DRC lazua wasiwasi mkubwa

Mashirika matano yasiyo ya serikali yanayojishughulisha na haki za binaadamu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, yameonyesha wasi wasi wao juu ya ongezeko la wanamgambo wa waasi kusini mashariki mwa …
Msemaji wa Umoja wa Mataifa amesema Tanzania imeshaandaa timu ya uchunguzi ambayo itasafiri kwenda nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC kuchunguza madai kuwa askari wake walio katika kikosi cha …
Jumatano, 06 Aprili 2016 12:01

Zuma Anusurika kura ya kumwondoa madarakani

Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini amenusurika kura ya kutokuwa na imani naye bungeni.
Baraza Kuu la Uongozi la serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya limemchagua Abdulrahman Al-Shater kuwa mkuu wa baraza hilo.
Mwakilishi wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al Mustafa (SAW) nchini Senegal amekutana na viongozi wa Wakristo nchini humo na kuwakabidhi zawadi ya nakala ya Qur’ani iliyotarjumiwa kwa lugha ya …
Jumatano, 06 Aprili 2016 07:24

Boko Haram 300 wauawa, raia 2000 wakombolewa

Muungano wa kijeshi unaopambana na wanamgambo wa kundi la kigaidi la Boko Haram umetangaza kuwa, wapiganaji 300 wa kundi hilo wameangamizwa na karibu raia 2000 wasio na hatia wamekombolewa kutoka …
Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC imetangaza kuwa Naibu wa Rais wa Kenya William Ruto na mwanahabari Joshua Sang hawana kesi ya kujibu kufuatia kuvurugika mkondo wa kesi dhidi yao.
Jumanne, 05 Aprili 2016 18:50

Makamanda saba wa Al Shabab wauawa Somalia

Makamanda saba wa kundi la kigaidi la Al Shabab wameuawa Somalia katika oparesheni za pamoja za Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Afrika Somalia AMISOM na jeshi la nchi …
Wanajeshi wa Tanzania walioko katika kikosi cha Umoja wa Mataifa huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanakabiliwa na tuhuma za kuhusika na ubakaji na udhalilishaji wa kijinsia.
Maelfu ya wananchi wa Jamhuri ya Congo wameukimbia mji mkuu wa nchi hiyo Brazaville kutokana na kushika kasi makabiliano yaliyoripuka jana Jumatatu kati ya maafisa usalama na kundi moja la …
Kamanda mwandamizi wa kundi la waasi wa Rwanda la FDLR amekamatwa katika mji mkuu wa Uganda, Kampala.
Rais Omar al-Bashir wa Sudan amedai kuwa, nchi yake haihitaji kwa aina yoyote msaada kutoka kwa mashirika ya kigeni nchini humo.
Rais Abdelaziz Bouteflika wa Algeria amemwambia kinagaubaga Mfalme Salman bin Abdulaziz Al Saud wa Saudi Arabia kuwa, nchi yake inafuata msimamo wa kutoingilia masuala ya ndani ya nchi nyingine katika …
Kenya na Ufaransa zimetiliana saini hati saba ya maelewano ambapo kupitia mikataba hiyo, Kenya itapatiwa msaada wa Euro milioni 250 ambazo ni sawa na shilingi bilioni 28.8 za Kenya.
Jumatatu, 04 Aprili 2016 21:05

Polisi ya Congo yapambana na waasi wa Ninja

Milio ya risasi imesikika mapema leo katika mji mkuu wa Jamhuri ya Congo, Brazaville na watu walioshuhudia wanasema kuwa polisi ya nchi hiyo inapambana na kundi la waasi wa "Ninja".
Baraza Kuu la Uongozi la Taifa la Chama Cha Wananchi CUF nchini Tanzania limetoa maazimio 13 baada ya kumaliza kikao chake cha siku mbili visiwani Zanzibar.
Spika wa bunge la Afrika Kusini ametoa taarifa hiyo baada ya shinikizo kutoka kwa vyama vya upinzani vikiongozwa na kile cha Economic Freedom Fighters (EFF) kinachoongozwa na Julius Malema.

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …