Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Serikali ya Guinea Conakry imechukua hatua za kuimarisha usalama nchini humo kwa shabaha ya kujiweka tayari kukabiliana na shambulio lolote lile la kigaidi.
Jumamosi, 09 Aprili 2016 12:41

Osei: Sheria za uchaguzi Ghana kurekebishwa

Tume ya Uchaguzi ya Ghana imetangaza kuwa, imekubaliana na ombi la kuzifanyia marekebisho sheria za uchaguzi.
Kura ya maoni katika eneo la Darfur magharibi mwa Sudan inatarajiwa kufanyika Jumapili ya kesho huku kukiwa na mazingira tata kuhusiana na zoezi hilo.
Waziri Mkuu wa Djibouti, Abdoulkader Kamil Mohamed amesema kuwa Rais Ismaïl Omar Guelleh ndiye mshindi wa uchaguzi mkuu uliofanyika jana nchini humo.
Duru ya mafunzo ya kuhifadhi na kusoma Qur'an Tukufu kwa mbinu ya tajwidi imefanyika nchini Comoro ambapo karibu wanafunzi 100 wameshiriki mafunzo hayo.
Umoja wa Mataifa umemteua Waziri Mkuu wa zamani wa Togo Edem Kodjo kuwa mpatanishi wa kurahisisha mazungumzo ya kitaifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Taarifa ya kujiuzulu Jean Ravelonarivo Waziri Mkuu wa Madagascar na baraza lake la mawaziri ilitolewa jana Ijumaa na afisa katika ofisi ya rais ambaye hakutoa maelezo yoyote.
Naibu Rais wa Kenya William Ruto amesema leo kuwa, kesi iliyokuwa ikimkabili yeye na mwandishi wa habari Joshua Sang katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC ilishindwa na kufutwa kwa …
Ijumaa, 08 Aprili 2016 18:17

UNSC yarefusha vikwazo kwa Sudan Kusini

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limerefusha vikwazo dhidi ya Sudan Kusini.
Msemaji wa serikali ya Uganda amesema kuwa serikali ya Marekani haina hadhi na ustahiki wa kukosoa demokrasia ya nchi hiyo.
Kiongozi wa upinzani wa Sudan Kusini ametangaza kuwa atarejea katika mji mkuu wa nchi hiyo Juba tarehe 18 Aprili kwa ajili ya kuunda serikali ya mpito ya umoja wa kitaifa …
Serikali mpya ya umoja wa kitaifa ya Libya imekabiliwa na changamoto baada ya Waziri Mkuu wa serikali yenye makao yake katika mji mkuu wa nchi hiyo Tripoli kukataa kukabidhi madaraka …
Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri ameunga mkono kutatuliwa mgogoro wa Syria kwa njia za udiplomasia, badala ya mtutu wa bunduki.
Wakazi wa maeneo ya kusini mwa Brazzaville, mji mkuu wa Jamhuri ya Kongo wamekimbia eneo hilo kutokana na mapigano ya hivi karibuni kati ya wanamgambo wa upinzani na askari wa …
Alkhamisi, 07 Aprili 2016 12:50

Maandamano dhidi ya serikali yafanyika Ghana

Wananchi wa Ghana wameandamana katika mji wa katikati mwa nchi hiyo dhidi ya serikali.
Alkhamisi, 07 Aprili 2016 12:47

Omar al Bashir kuondoka madarakani mwaka 2020

Rais Omar al Bashir wa Sudan amesema kuwa ataondoka madarakani mwaka 2020 na kwamba hana mipango ya kugombeza muhula mwingine wa urais.
Waziri wa zamani wa sheria wa Ufaransa ametoa wito wa kuwekwa wazi uhakika na ukweli kuhusu mauaji ya kimbari dhidi ya Watutsi yaliyotokea Rwanda mwaka 1994.
Mjumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Libya ametaka kukabidhiwa haraka na kikamilifu uongozi wa nchi kwa serikali ya umoja wa kitaifa.
Wataalamu wa Umoja wa Mataifa wametoa ropoti mpya inayoonyesha kutumiwa mabomu ya vishada katika eneo la Darfur magharibi, nchini Sudan.
Wafanyakazi wa sekta ya afya katika Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo wameanza mgomo wao wakilalamikia kutokuweko usalama kazini.

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …