Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Kundi la kigaidi la Boko Haram limetangaza kuwa, linataka lipatiwe pauni milioni 35 ili liwaachilie huru wasichana wa shule ya Chibok linaowashikilia mateka.
Rais Mahamadou Issoufou wa Niger ametangaza serikali yake mpya nchini humo. Rais Issoufou amechukua hatua hiyo ikiwa ni baada ya kushinda uchaguzi wa tarehe 20 Machi mwaka huu.
Mwanaharakati mmoja maarufu wa nchini Uingereza amekosoa vikali ukimya wa jamii ya kimataifa juu ya mauaji ya halaiki dhidi ya Waislamu nchini Nigeria.
Mkutano unaohusu ujenzi wa bomba la kusafirisha mafuta kutoka Uganda hadi Bahari ya Hindi ulianza jana katika mji mkuu wa Uganda Kampala.
Mlipuko wa bomu umetokea leo nje ya mgahawa mmoja uliokuwa umejaa wateja wakipata chakula cha mchana huko Mogadishu mji mkuu wa nchi hiyo na kuuwa watu wasiopungua watano.
Wapinzani nchini Chad wameendelea kuwasilisha malalamiko yao licha ya kuanza kuhesabiwa kura za uchaguzi wa Rais nchini humo.
Sheikhul Azhar wa Misri amesisitiza juu ya ulazima wa kufanyika mazungumzo kati ya dini za mbinguni kwa minajili ya kukurubisha pamoja fikra na mitazamo kati ya dini hizo.
Jumatatu, 11 Aprili 2016 17:49

Wapinzani DRC waliunga mkono azimio la UNSC

Wapinzani wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamesema kuwa, wanaunga mkono azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linalotaka kufanyike uchaguzi wa nchi hiyo katika muda …
Licha ya lalama kutoka vyama vya upinzani, lakini Umoja wa Afrika AU umesema uchaguzi mkuu wa Djibouti wa Ijumaa iliyopita ulikuwa huru na wa haki.
Polisi ya Nigeria imedai kuwa harakati ya Biafra ndiyo iliyohusika na mauaji ya hivi karibuni ya watu 55, baada ya kugundua kaburi la umati kusini mashariki mwa nchi.
Maafisa usalama wa Libya wanaolinda visima vya mafuta nchini humo wamelazimika kufunga visima vitatu vya mafuta kutokana na wafanyakazi katika visima hivyo kugoma kwenda kazini kwa kuhofia mashambulio ya genge …
Habari kutoka mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zinasema kuwa, kumezuka machafuko baina ya wananchi na wanajeshi wa serikali baada ya kuuawa kiongozi mmoja wa kieneo katika eneo hilo.
Jumapili, 10 Aprili 2016 19:42

Al Shabab washambulia kituo cha polisi Kenya

Magaidi wameshambulia kituo cha polisi katika mpaka wa Kenya na Somalia na kupora gari la polisi na kombora moja.
Maafisa wa polisi nchini Iraq wanasema wameona ndege za kijeshi za Marekani zikiwateremeshia shehena za silaha magaidi wa ISIS au Daesh katika mkoa wa Al Anbar.
Jumapili, 10 Aprili 2016 19:40

Maandamano ya wapinzani nchini Angola

Polisi nchini Angola wamezuia maandamano ya wapinzani wa serikali ya nchi hiyo.
Kiongozi wa jamii ya Khoisan nchini Afika Kusini amewasilisha kesi ya jinai dhidi ya Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dakta Ali Mohamed Shein ametangaza Baraza la Mawaziri lenye wizara 13 huku akisema kuwa hababaishwi na hatua ya chama kikuu cha …
Viongozi wa upinzani nchini Djibouti wametangaza kutotambua ushindi wa Rais Ismail Omar Guelleh katika uchaguzi mkuu uliofanyika Ijumaa iliyopita.
Wanamgambo wawili wa kundi la ash Shabab wametekelezewa adhabu ya kifo katika mji mkuu wa Somalia Mogadishu kwa kosa la kumuua mwandishi wa habari.
Kwa uchache watu watatu wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya kutokea mripuko wa bomu nje ya mkahawa mmoja katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …