Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa barabara ya juu (Flyover) katika makutano ya barabara ya Nyerere …
Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, ukame na baa la njaa linatishia maisha ya watu milioni 30 barani Afrika.
Serikali ya Burundi imeomba iondolewe vikwazo ilivyowekewa na Jumuiya ya Nchi Zinazozungumza Lugha ya Kifaransa (Francophone).
Hatua ya Rais Abdel Fattah el-Sisi wa Misri kumpatia Mfalme Salman wa Saudia visiwa viwili vya Sanafir na Tiran, imeendelea kukosolewa na Wamisri.
Rais Beji Caid Essebsi wa Tunisia ameonya juu ya uingiliaji kijeshi wa kigeni nchini Libya.
Rais John Dramani Mahama wa Ghana ameamuru kuchukuliwa hatua kali za kiusalama baada ya kuongezeka wimbi la mashambulizi ya kigaidi katika nchi za magharibi mwa Afrika.
Ni rasmi sasa Sudan Kusini ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC. Hii ni baada ya Rais Salva Kiir wa nchi hiyo kusaini mkataba unaorasimisha nchi hiyo kujiunga …
Jumamosi, 16 Aprili 2016 11:50

Mripuko wa bomu waua watu 3 garini DRC

Watu watatu wameuawa katika mripuko wa kile kinachoaminika kuwa bomu la kutegwa garini mashariki wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Jumamosi, 16 Aprili 2016 09:09

Makumi wakamatwa Gambia wakimpinga Jammeh

Makumi ya raia wametiwa mbaroni nchini Gambia katika maandamano yaliyofanyika jana ya kumpinga Rais Yahya Jammeh wa nchi hiyo.
Raia wa Misri wamesisitiza kuendeleza maandamano yao hadi pale watakapohakikisha wanauondoa madarakani utawala wa Rais Abdel Fattah el-Sisi wa nchi hiyo kutokana na hatua yake ya kuipatia Saudia visiwa vya …
Kamanda Azali Assoumani, aliyewahi kufanya mapinduzi ya kijeshi nchini Comoro, amechaguliwa kuwa rais wa visiwa hivyo.
Waziri Mkuu wa serikali ya umoja wa kitaifa nchini Libya amesema kuwa, serikali yake haitoruhusu askari wa kigeni kuivamia kijeshi nchi hiyo.
Jeshi la Misri limetumia mtutu wa bunduki kuwatawanya raia wa nchi hiyo waliokuwa wanaandamana kuilaani Saudi Arabia na pia kulaani hatua ya Rais Abdel Fattah el-Sisi ya kumpa visiwa viwili …
Polisi wa Rwanda wameripoti kuwepo kesi 40 za hivi karibuni za wanaohusika na kueneza itikadi ya mauaji ya halaiki wakati wa wiki ya kuadhimisha mauaji ya halaiki iliyomalizika Jumatano iliyopita.
Serikali ya Misri imesema itawachukulia hatua wanaopanga kushiriki katika maandamano ya leo Ijumaa kupinga hatua ya rais wa nchi hiyo kuipa Saudia visiwa viwili muhimu katika Bahari ya Sham.
Ni miaka miwili sasa tangu magaidi wakufurishaji wa Boko Haram walipowateka nyara wasichana wa shule ya serikali katika mji wa Chibok, kaskazini mashariki mwa Nigeria.
Ijumaa, 15 Aprili 2016 12:19

Mafuriko yaua watu wawili Tanzania

Watu wawili wamethibitishwa kufariki dunia na mamia ya wengine kuachwa bila makao baada ya mvua kubwa kunyesha kwa wiki moja katika wilaya ya Kyela, kusini magharibi mwa Tanzania.
Alkhamisi, 14 Aprili 2016 19:05

Libya yamkosoa Mjumbe wa Umoja wa Mataifa

Spika wa bunge la Libya amemkosoa Mjumbe wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia masuala ya nchi hiyo kutokana na kuanza kazi serikali ya umoja wa kitaifa ya nchi hiyo bila ya …
Afisa wa chama tawala nchini Burundi ameuawa kwa kupigwa risasi, katika kile kinachoonekana ni wimbi la makabiliano ya kulipiza kisasi dhidi ya serikali.
Imearifiwa kuwa utawala wa kizayuni wa Israel unashirikiana na makundi ya waasi nchini Sudan kufanya magendo ya dhahabu na madini ya urani katika jimbo la Kordofan Kusini.

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …