Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Ijumaa, 29 Aprili 2016 20:40

Kikao cha makubaliano ya amani chafanyika nchini Mali

Kikao cha makubaliano ya amani chafanyika nchini Mali
Kikao cha kujadili muswada wa makubaliano ya amani, kimeanza leo mjini Ménaka nchini Mali.

Mashirika, taasisi, jumuiya, viongozi wa kieneo, wawakilishi wa serikali na wale wa makundi ya wabeba silaha yanayoendesha harakati zao kaskazini mwa nchi hiyo, wanashiriki kikao hicho kilichoanza leo Ijumaa cha maandalizi ya makubaliano ya amani nchini. Kikao hicho cha siku tatu kinatazamiwa kuwa na mafanikio makubwa kwa ajili ya kufanikisha utekelezaji wa makubaloano ya amani nchini Mali ili kumaliza mgogoro wa nchi hiyo. Hii ni katika hali ambayo, wapinzani wanaobeba silaha nchini humo mwezi Januari mwaka 2012 walianzisha harakati zao za uasi na kuufanya mjini wa Ménaka kuwa ngome yao ya kijeshi. Hata hivyo jeshi la serikali lilianza kurejea taratibu katika eneo hilo kufuatia kutiwa saini makubaliano ya amani kati ya serikali na wapinzani hao. Licha ya kufanyika duru kadhaa za mazungumzo zilizopelekea kufikiwa makubaliano ya amani huko nchini Algeria mwaka 2015 baina ya serikali na waasi, lakini bado mashambulizi yamekuwa yakiendelea katika maeneo ya kaskazini, katikati na hata kusini mwa nchi hiyo.

Andika maoni


Msimbo salama (Security code)
Upyesha (Refresh)

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …