Mjumbe maalumu wa Umoja wa Afrika nchini Somalia amesema kuwa, vikosi vya kusimamia amani vya AU huko Somalia vimefanya juhudi kubwa za kurejesha amani na utahbiti katika nchi hiyo ya …
Shirika la Kimataifa la Wahajiri (IOM) limeripoti kuwa, mamia ya wahajiri wamefariki dunia katika wiki sita tu za mwanzoni mwaka huu wa 2016.
Jumatano, 10 Februari 2016 06:53

Iran yazindua makombora ya kisasa ya 'Nasr'

Wizara ya Ulinzi ya Iran imelikabidhi Jeshi la Anga la Jamhuri ya Kiislamu shehena ya kwanza ya makombora ya kisasa ya anga yakulikanayo kwa jina la 'Nasr' au Ushindi.
Mahakama moja ya Misri imewahukumu kifungo cha maisha jela wanachama 19 wa harakati ya Ikhwanul Muslimin.
Mkuu wa Jeshi wa zamani na mshauri wa rais wa Congo-Brazaville amejitosa kwenye kinyang'ayiro cha kuwania urais wa nchi hiyo mwezi ujao.
Jumatano, 10 Februari 2016 05:12

Tahadhari kuhusu kujiimarisha Daesh huko Libya

Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuhusu juhudi za kundi la kigaidi la Daesh za kuimarisha ushawishi wake huko Libya.
Rais mstaafu wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi ameteuliwa kuongoza timu ya waangalizi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwenye uchaguzi mkuu wa Uganda …
Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema kuwa kazi ya kutokomeza na kung'oa mizizi ya makundi ya kigaidi kama Daesh inahitajia mpambano wa kifikra na kiutamaduni …
Mahakama ya Katiba ya Afrika Kusini leo imeanza kushughulikia kesi ya ubadhirifu wa mali ya umma inayomkabiliwa Rais wa nchi hiyo, Jacob Zuma.
Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) limetahadharisha kuhusu wimbi jipya la kutumiwa watoto wadogo na kuendelea vita katika nchi kadhaa za Kiafrika.
Page 1 of 3569

Ufeministi, itikadi na misingi yake (19)

Ni wasaa mwingine wa kuwa nanyi tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa fikra na mitazamo ya mafeministi. Katika …

Hadithi ya Uongofu (30)

Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. Kama mnakumbuka, kipindi chetu …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …