Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Alkhamisi, 09 Disemba 2010 16:53

Surat Yusuf - Aya ya 4-6

SikilizaWasikilizaji wapenzi wa Darsa ya Qur'ani Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Bismillahir Rahmanir RahimTunammshukuru Allah SWT ambaye ametupa taufiki ya kukutana tena katika mfululizo mwingine wa Darsa ya Qur'ani. Sura tunayoizungumzia …
Jumatano, 08 Disemba 2010 18:44

Surat Yusuf - Aya ya 1-3

SikilizaWasikilizaji wapenzi wa Darsa ya Qur'ani Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Bismillahir Rahmanir Rahim. Hamdu na sifa zote njema ni za Allah SW, mbaye ametupa taufiki ya kukutana tena katika mfululizo …
Jumanne, 22 Aprili 2008 17:21

Suratul An'am Aya ya 10-14

Darsa hii inazungumzia aya tano za sura hii tukianza na aya yake ya kumi ambayo inasema: Na hakika walifanyiwa stihzai Mitume waliokuwa kabla yako, lakini yakawazunguka wale waliofanya mzaha miongoni …
Jumanne, 22 Aprili 2008 17:15

Suratul An'aam Aya ya 4 - 9

Katika darsa hii tutazungumzia aya sita za sura hiyo, tukianza na aya ya nne na ya tano ambazo zinasema: Na haiwafikii hata ishara moja katika ishara za mola wao Mlezi …
Jumanne, 22 Aprili 2008 17:10

Suratul An'aam Aya ya 1 - 3

Sura hii iliteremshwa Makka na ina aya 165. Ujumbe mkuu wa sura hii ni kupamabana na shiriki na kulingania tauhidi kumpwekesha Mwenyezi Mungu); na hivyo nyingi kati ya aya zake …
Jumatatu, 21 Aprili 2008 22:00

Suratul Anfal: Aya ya 73-75

Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Bismillahi Rahmani Rahiim Shukrani na sifa zote njema zinamstahikia Allah sw, ambaye ametuwafikisha kukutana tena katika mfululizo mwengine wa darsa ya quran; darsa inayotoa tarjumi na …
Jumatatu, 21 Aprili 2008 21:59

Suratul Anfal: Aya ya 70-72

Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Bismillahi Rahmani Rahiim. Shukrani na sifa zote njema zinamstahikia Mwenyezi Mungu Mtukufu ambaye ametujaalia taufiki ya kukutana tena katika mfululizo mwengine wa darsa ya quran, darsa …
Jumatatu, 21 Aprili 2008 21:58

Suratul Anfal: Aya ya 65-69

Assalamu Alaykum Warahamatullahi Wabarakaatuh. Bismillahi. Shukrani na sifa njema zote zinamstahikia Allah sw, Muumba wa kila kitu. Tunaendelea na darsa ya yetu ya quran inayotoa tarjumi na maelezo kwa ufupi …
Jumatatu, 21 Aprili 2008 21:57

Suratul Anfal: Aya ya 60-64

Assalamu Alaykum Warahamatullahi Wabarakaatuh. Bismillahi. Shukrani na sifa njema zote zinamstahikia Allah sw, Muumba wa kila kitu. Tunaendelea na darsa ya yetu ya quran inayotoa tarjumi na maelezo kwa ufupi …
Jumatatu, 21 Aprili 2008 21:56

Suratul Anfal: Aya ya 55-59

Assalamu Alaykum Warahamatullahi Wabarakaatuh. Bismillahi. Shukrani na sifa njema zote zinamstahikia Allah sw, Muumba wa kila kitu. Tunaendelea na darsa yetu ya quran inayotoa tarjumi na maelezo kwa ufupi ya …
Jumatatu, 21 Aprili 2008 21:55

Suratul Anfal: Aya ya 50-54

Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Bismillahi Rahmani Rahiim. Shukrani na kila sifa njema zinamstahikia Allah sw ambaye kwa rehma na taufiki yake tumekutana tena katika mfululizo mwengine wa darsa ya kila …
Jumatatu, 21 Aprili 2008 21:54

Suratul Anfal: Aya ya 46-49

Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Bismillahi Rahmani Rahiim. Hii darsa ya quran, inayotoa tarjumi na maelezo kwa ufupi ya sura za quran tukufu kwa kuzingatia mpangilio wa sura hizo ndani ya …
Jumatatu, 21 Aprili 2008 21:53

Suratul Anfal: Aya ya 42-45

Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Bismillahi Rahmani Rahiim. Shukrani na sifa zote njema zinamstahikia Mwenyezi Mungu Mtukufu ambaye ametujaalia taufiki ya kukutana tena katika mfululizo mwengine wa darsa ya quran, darsa …
Jumatatu, 21 Aprili 2008 21:52

Suratul Anfal: Aya ya 38-41

Assalamu Alaykum Warahamatullahi Wabarakaatuh. Bismillahi. Shukrani na sifa njema zote zinamstahikia Allah sw, Muumba wa kila kitu. Tunaendelea na darsa yetu ya quran inayotoa tarjumi na maelezo kwa ufupi ya …
Jumatatu, 21 Aprili 2008 21:51

Suratul Anfal: Aya ya 34-37

Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Bismillahi Rahmani Rahiim Shukrani na sifa zote njema zinamstahikia Mwenyezi Mungu Mtukufu kwa neema zote alizotuneemesha, tunazozijua na zile tusizozijua. Huu ni mfululizo mwengine wa darsa …
Jumatatu, 21 Aprili 2008 21:50

Suratul Anfal: Aya ya 30-33

Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Bismillahi Rahmani Rahiim. Hii darsa ya quran, inayotoa tarjumi na maelezo kwa ufupi ya sura za quran tukufu kwa kuzingatia mpangilio wa sura hizo ndani ya …
Jumatatu, 21 Aprili 2008 21:49

Suratul Anfal: Aya ya 26-29

Assalamu Alaykum Warahamatullahi Wabarakaatuh. Bismillahi. Shukrani na sifa njema zote zinamstahikia Allah sw, Muumba wa kila kitu. Tunaendelea na darsa ya yetu ya quran inayotoa tarjumi na maelezo kwa ufupi …
Jumatatu, 21 Aprili 2008 21:47

Suratul Anfal: Aya ya 22-25

Assalamu Alaykum Warahamatullahi Wabarakaatuh. Bismillahi. Shukrani na sifa njema zote zinamstahikia Allah sw, Muumba wa kila kitu. Tunaendelea na darsa ya yetu ya quran inayotoa tarjumi na maelezo kwa ufupi …
Jumatatu, 21 Aprili 2008 21:46

Suratul Anfal: Aya ya 15-21

Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Bismillahi Rahmani Rahiim Shukrani na sifa zote njema zinamstahikia Mwenyezi Mungu Mtukufu kwa neema zote alizotuneemesha, tunazozijua na zile tusizozijua. Katika darsa hii tutaanza kuizungumzia sura …
Jumatatu, 21 Aprili 2008 21:45

Suratul Anfal: Aya ya 10-14

Assalamu Alaykum Warahamatullahi Wabarakaatuh. Bismillahi. Shukrani na sifa njema zote zinamstahikia Allah sw, Muumba wa kila kitu Tunaendelea na darsa ya yetu ya quran inayotoa tarjumi na maelezo kwa ufupi …