Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Al An'am
Jumanne, 22 Aprili 2008 17:21

Suratul An'am Aya ya 10-14

Darsa hii inazungumzia aya tano za sura hii tukianza na aya yake ya kumi ambayo inasema: Na hakika walifanyiwa stihzai Mitume waliokuwa kabla yako, lakini yakawazunguka wale waliofanya mzaha miongoni …
Jumanne, 22 Aprili 2008 17:15

Suratul An'aam Aya ya 4 - 9

Katika darsa hii tutazungumzia aya sita za sura hiyo, tukianza na aya ya nne na ya tano ambazo zinasema: Na haiwafikii hata ishara moja katika ishara za mola wao Mlezi …
Jumanne, 22 Aprili 2008 17:10

Suratul An'aam Aya ya 1 - 3

Sura hii iliteremshwa Makka na ina aya 165. Ujumbe mkuu wa sura hii ni kupamabana na shiriki na kulingania tauhidi kumpwekesha Mwenyezi Mungu); na hivyo nyingi kati ya aya zake …

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …