Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Alkhamisi, 07 Januari 2016 16:51

Madhara ya simu za mkononi kwa afya ya watoto

Katika makala hizi tunaangazia namna teknolojia hizo zinavoweza kuwa na faida na pia madhara kwa mwanadamu na yote yanategemea namna zinavyotumiwa. Katika makala yetu iliyopita tulisema kuwa wataalamu wanasema utumizi …
Alkhamisi, 24 Disemba 2015 12:04

Simu za mkononi ni hatari kwa afya ya watoto

Katika makala yetu iliyotangulia tulisema kuwa wataalamu wanasema utumizi wa muda mrefu wa simu za mkononi ambao huambatana na kulengwa kwa muda mrefu na sumaku pamoja na miale ya kielektroniki …
Alkhamisi, 24 Disemba 2015 11:57

Tusisahau madhara ya simu za mkononi

Hamjambo   wapenzi   wasikilizaji   na   karibuni   kujiunga   nami   katika   kipindi   hiki    ambacho huangazia   taathira ya teknolojia za kisasa za habari na mawasiliano    au   teknohama   katika   mtindo   wa   maisha.   Katika   makala   kadhaa   …
Ingawa miaka ya nyuma masafa yalikuwa na taathira katika uhusiano na maingiliano ya wanadamu, leo mawasiliano ya wanadamu yameenea na kuwa na kasi ya juu kutokana na kuenea intaneti na …
Sote tunakumbuka namna ambavyo, katika miaka iliyopita, tulikuwa tukisikia zauti zilizojaa furaha za watoto wakicheza mitaani. Watoto wakiwa na nyuso zenye bashasha na msisimko mkubwa walikuwa wakikimbizana huku na kule …
Katika makala hii tutaangazia baadhi ya taathira chanya na nzuri za teknolojia mpya ya habari na mawasiliano katika maisha ya kila siku. Baadhi ya mitandao ya kijamii kama vile Facebook, …
Hakuna shaka kuwa matangazo ya biasahra na uchumi yana umuhimu mkubwa. Mashirika ya kibiashara yakitaka kubakia katika mashindano ya biashara na kupata mafanikio katika soko lenye ushindani mkubwa la leo, …
Alkhamisi, 24 Disemba 2015 10:59

Uraibu wa kutizama picha chafu katika intaneti

Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nasi katika makala hii ambayo huangazia taathira za teknolojia za kisasa katika mtindo wa maisha. Katika makala chache zilizopita tuliangazia suala la athari mbaya …
Alkhamisi, 24 Disemba 2015 10:57

Utumizi wa Intaneti katika familia

Familia ni chombo muhimu na chenye athari katika kuainisha hatima ya maisha ya kijamii ya mtu binafsi. Bila kuwepo familia basi jamii ya mwanadamu itakuwa hatarini na itakumbwa na mgogoro …
Katika makala yetu iliyopita, tuliashiria baadhi ya michezo ya video na kompyuta iliyotengenezwa katika nchi za Magharibi na chini ya ushawishi wa Wazayuni. Tuliona namna ambayvo nyuma ya pazia ya …
Takwimu zinaonyesha kuwa kwa wastani kila mwaka huzalishwa aina elfu tatu hadi nne za michezo ya kompyuta huku mamilioni ya watu duniani wakitumia wakati wao kucheza michezo hiyo. Baadhi ya …
Katika makala yetu iliyopita tuliona namna dini inavyovunjiwa heshima hivi sasa katika fremu ya michezo ya kompyuta na video inayotoka katika nchi za Magharibi kwa njia ya moja kwa moja …
Alkhamisi, 23 Julai 2015 12:07

Athari mbaya za michezo ya Kompyuta

Katika makala yetu iliyopita tuliendelea kuchunguza taathira za michezo ya video au kompyuta katika maisha ya watoto na vijana. Tuliona namna ambayo michezo hiyo ikitumiwa kwa njia zisizo sahihi husababisha …
Jumamosi, 06 Juni 2015 15:09

Teknolojia na Mtindo wa Maisha (15)

Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii ambayo huangazia baadhi ya taathira za teknolojia mpya za mawasiliano katika mtindo wa maisha ya mwanaadamu.Wapenzi wasikilizaji katika makala yetu …
Jumamosi, 30 Mei 2015 13:30

Teknolojia na Mtindo wa Maisha (14)

Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii ambayo huangazia baadhi ya taathira za teknolojia mpya za mawasiliano katika mtindo wa maisha ya mwanaadamu. Katika makala yetu iliyopita …
Jumamosi, 09 Mei 2015 13:50

Teknolojia na Mtindo wa Maisha (13)

Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii ambayo huangazia baadho ya taathira za teknolojia mpya za mawasiliano katika mtindo wa maisha ya mwanaadamu. Ni matumaini yangu kuwa …
Jumamosi, 25 Aprili 2015 12:40

Teknolojia na Mtindo wa Maisha (12)

Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii ambayo huangazia taathira za teknolojia mpya za mawasiliano katika mtindo wa maisha. Teknolojia za sasa za mawasiliano hasa intaneti zimepelekea …
Jumapili, 19 Aprili 2015 17:22

Teknolojia na Mtindo wa Maisha (11)

Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii ambayo huangazia taathira za teknolojia ya habari na mawasiliano katika mtindo wa maisha. Ni matumaini yangu kuwa mtakuwa nami hadi …
Jumapili, 12 Aprili 2015 16:55

Teknolojia na Mtindo wa Maisha (10)

Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii ambayo huangazia taathira za intaneti katika mtindo wa maisha. Leo tutaangazia baadhi ya taathira za matumizi ya intaneti miongoni mwa …
Jumamosi, 04 Aprili 2015 07:45

Teknolojia na Mtindo wa Maisha (9)

Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii ambayo huangazia taathira za teknolojia mpya za mawasiliano na habari hasa intaneti katika mtindo wa maisha ya mwanadamu. Katika muundo …
Page 1 of 2