Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jumamosi, 30 Aprili 2016 08:48

Jumamosi 30 Aprili 2016

Leo ni Jumamosi tarehe 22 Rajab 1437 Hijria sawa na tarehe 30 Aprili mwaka 2016 Miladia. Siku kama ya leo miaka 239 iliyopita, alizaliwa Carl Friedrich Gauss mwanahisabati na mnajimu …
Ijumaa, 29 Aprili 2016 09:03

Ijumaa, 29 Aprili, 2016

Leo ni Ijumaa tarehe 21 Rajab 1437 Hijria sawa na tarehe 29 Aprili 2016. Tarehe 10 Ordibehesht miaka 37 iliyopita Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ilikata uhusiano wake na Misri. …
Alkhamisi, 28 Aprili 2016 08:49

Alkhamisi 20 Rajab, 1437

Leo ni Akhamisi tarehe 20 Rajab 1437 Hijria sawa na tarehe 28 Aprili 2016. Miaka 24 iliyopita katika siku kama ya leo, makundi ya Mujahidina wa Afghanistan hatimaye yalipata ushindi …
Jumatatu, 25 Aprili 2016 08:40

Jumatatu, April 25, 2016

leo ni Jumatatu tarehe 17 Rajab 1437 hijria sawa na Aprili 25, 2016. Siku kama ya leo miaka 524 serikali ya mwisho ya Kiislamu barani Ulaya ilisambaratika huko Granada. Baada …
Jumapili, 24 Aprili 2016 07:25

Jumapili, Aprili 24, 2016

Leo ni Jumapili tarehe 16 Rajab mwaka 1437 Hijria inayosadifiana na tarehe 24 April, mwaka 2016 Miladia. Siku kama ya leo miaka 1464 iliyopita kwa mujibu wa mahesabu ya wanahistoria …
Jumamosi, 23 Aprili 2016 10:25

Jumamosi, Aprili 23, 2016

Leo ni Jumamosi tarehe 15 Rajab 1437 Hijria ambayo inasaidiana na tarehe 23 Aprili mwaka 2016 Miladia.Siku kama ya leo miaka 1375 iliyopita kulingana na kalenda ya Hijria, alifariki dunia …
Ijumaa, 22 Aprili 2016 10:44

Ijumaa, 22 Aprili, 2016

Leo ni Ijumaa tarehe 14 Rajab 1437 Hijria sawa na 22 Aprili 2016. Siku kama ya leo miaka 1434 iliyopita yaani tarehe 14 Rajab mwaka wa pili Hijiria, kulijiri vita …
Alkhamisi, 21 Aprili 2016 10:52

Alkhamisi 21 Aprili, 2016

Leo ni Alkhamisi tarehe 13 Rajab 1437 Hijria sawa na 21 Aprili 2016.Siku kama ya leo miaka 1460 iliyopita kulingana na kalenda ya Hijria, alizaliwa katika nyumba tukufu ya al …
Jumatano, 20 Aprili 2016 09:07

Jumatano, Aprili 20, 2016

Leo ni Jumatano tarehe 12 Rajab 1437 Hijria sawa na tarehe 20 Aprili 2016. Siku kama ya leo miaka 1405 iliyopita kulingana na kalenda ya Hijria alifariki dunia Abbas bin …
Jumanne, 19 Aprili 2016 08:58

Jumanne, Aprili 19, 2016

Leo ni Jumanne tarehe 11 Rajab 1437 Hijria sawa na tarehe 19 Aprili 2016. Miaka 2049 iliyopita kwa mujibu wa baadhi ya nadharia za wanahistoria, yaani tarehe 19 Aprili mwaka …
Jumapili, 17 Aprili 2016 09:06

Jumapili 9 Rajab 1437 Hijria

Leo ni Jumapili tarehe tisa Rajab mwaka1437 Hijria sawa na Aprili 17, mwaka 2013, Miladia. Siku kama ya leo miaka 516 iliyopita, alizaliwa Abdi Bik Shirazi, mtaalamu mkubwa wa historia …
Jumamosi, 16 Aprili 2016 10:38

Jumamosi, Aprili 16, 2016

Leo ni Jumamosi tarehe 8 ya mwezi Rajab mwaka 1437 Hijria sawa na tarehe 16 Aprili mwaka 2016 Miladia. Siku kama ya leo miaka 19 iliyopita ulitokea mlipuko mkubwa ulisababishwa …
Ijumaa, 15 Aprili 2016 09:19

Ijumaa, Aprili 15, 2016

Leo ni Ijumaa tarehe 7 Rajab 1437 Hijria sawa na Aprili 15, 2016. Siku kama ya leo miaka 564 iliyopita, alizaliwa mchoraji na msanii mashuhuri wa kutengeneza vinyago wa Italia …
Jumatano, 13 Aprili 2016 08:35

Jumatano, Aprili 13, 2016

Leo ni Jumatano tarehe 5 Rajab 1437 Hijria sawa na Aprili 13, 2015.Tarehe 5 Rajab miaka 1193 iliyopita aliuawa shahidi Abu Yusuf Yaqub ibn Is'haq, maarufu kwa jina la Ibn …
Jumanne, 12 Aprili 2016 10:27

Jumanne, Aprili 12, 2016

Leo ni Jumanne tarehe 4 Rajab 1437 Hijria sawa na Aprili 12, 2015. Siku kama ya leo miaka 1279 iliyopita, Zaid bin Ali bin Hussein, mjukuu wa Imam wa Tatu …
Jumapili, 10 Aprili 2016 09:14

Jumapili, Aprili 10, 2016

  Leo ni Jumapili tarehe Pili Rajab mwaka1437 Hijria inayosadifiana na tarehe 10 Aprili mwaka 2016 Miladia Siku kama ya leo miaka 1216 iliyopita, alizaliwa Ibn Rumi, malenga mashuhuri wa …
Jumamosi, 09 Aprili 2016 10:37

Jumamosi, April 9, 2016

Leo ni Jumamosi tarehe Mosi ya mwezi Rajab mwaka 1437 Hijria sawa na tarehe 9 Aprili mwaka 2016 Miladia. Leo ni tarehe Mosi Rajab, mwezi uliojaa rehema na fadhila tele. …
Ijumaa, 08 Aprili 2016 11:15

Ujumaa tarehe 08 Aprili 2016

Leo ni Ijumaa tarehe 29 Jumadithani 1437 Hijria sawa na 8 Aprili 2016.Siku kama ya leo miaka 9 iliyopita, inayosadifiana na tarehe 20 Farvardin 1385 ilipewa jina la Siku ya …
Alkhamisi, 07 Aprili 2016 10:43

Alhamisi, Aprili 7, 2016

Leo ni Alkhamisi tarehe 28 Jamadithani 1437 Hijria inayosadifiana na Apili 7, 2016. Siku kama hii ya leo na miaka 847 iliyopita alifariki dunia Abul-Qasim al-Shatwibi, msomi mashuhuri wa Qur'ani …
Jumanne, 05 Aprili 2016 09:04

Jumanne, Aprili 5, 2016

Leo ni Jumanne tarehe 26 Jumadithani 1437 Hijria sawa na Aprili 5, 2016. Siku kama ya leo miaka 1429 iliyopita vita vya Dhatus Salasil vilimalizika kwa Waislamu kujipatia ushindi. Vita …
Page 1 of 119