Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Deric Ford mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Syracuse cha nchini Marekani amesema kuwa ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran kwa vijana wa Ulaya na Amerika Kaskazini, …
Alkhamisi, 26 Februari 2015 19:36

"Barua ya Kiongozi imepambanua Uislamu wa kweli"

Mwanafunzi wa kike kutoka Chuo Kikuu kimoja nchini Marekani amesema kuwa barua ya hivi karibuni ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei kwa vijana wa …
Muhammad Abu Said kijana wa Kimarekani anayeishi katika jimbo la Marryland nchini Marekani amesema kuwa, barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa Ulaya na Amerika Kaskazini …
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran kwa vijana wa Ulaya na Amerika ya Kaskazini imewagusa mno …
Naibu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Syria amepongeza barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei kwa vijana wa Ulaya na Amerika Kaskazini na …
Mwanaharakati mmoja wa Marekani amesema kuwa vyombo vya habari vya nchi hiyo vinafanya njama za kuwazuia wananchi kuweza kuusoma ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa …
Barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei kwa vijana wa Ulaya na Amerika Kaskazini ambayo imeendelea kuakisiwa katika pembe mbalimbali duniani ina nukta kadhaa …
Jumatano, 25 Februari 2015 12:28

Dahmashi: Barua ya Kiongozi Muadhamu ni muhimu

Mtafiti wa Kituo cha Uchunguzi na Uhakiki cha Yemen amesema kuwa, uhuru na kujitawala ni nukta mbili muhimu zilizoko katika barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma …
Mwanaharakati mmoja wa Kiislamu wa Ugiriki amesema kuwa, barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei kwa vijana wa Ulaya na Amerika Kaskazini ni jambo …
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Baku, nchini Azerbaijan ameitaja barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, Ayatullahil-Udhma Sayyid Ali Khamemenei kwa vijana wa Ulaya na Amerika ya …
Mhariri wa Redio ya Kiitalia ya Kitengo cha Matangazo ya Ng'ambo cha Sauti na Televisheni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB) amesema Barua ya Kiongozi Muadhamu kwa vijana wa …
Muhammad Javad Larijani mwanadiplomasia mkongwe wa Iran amesema kuwa, barua ya hivi karibuni ya Kiongozi Miadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa Ulaya na Amerika Kaskazini ina mshabaha na …
Tovuti maalumu imeundwa kwa ajili ya kusambaza barua ya hivi karibuni ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa Ulaya na Amerika ya Kaskazini. Tovuti hiyo ambayo imetayarishwa …
Jumamosi, 21 Februari 2015 19:25

"Barua ya Kiongozi imeandikwa wakati mwafaka"

Mtaalamu mmoja wa masuala ya kisiasa nchini India amesema barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran kwa vijana wa Ulaya na Amerika ya Kaskazini ni hatua muhimu …
Askofu John Bryson Chane wa Marekani ameeleza kuvutiwa mno na barua iliyoandikwa na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhmaa Ali Khamenei kwa vijana wa Ulaya na Amerika ya …
Ujumbe wa kihistoria wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran kwa vijana na Ulaya na Amerika Kaskazini umeendelea kuakisiwa na kuzungumziwa katika pembe mbalimbali za dunia. Tumezungumza na …
Huku ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, kwa vijana wa Ulaya na Amerika Kaskazini ukiendelea kuakisiwa na kuzidi kusambaa duniani, nchini Tanzania ujumbe huo umetajwa kuwa …
Mwandishi wa habari na mchambuzi wa masuala ya kisiasa wa Uingereza amesema kuwa, ujumbe wa Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei kwa vijana wa Ulaya na Amerika ya Kaskazini unaashiria hatua …
Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje wa Uingereza, Jack Straw, amesema kuwa barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa Ulaya na Amerika ya kaskazini ni …
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei kwa vijana wa Ulaya na Amerika ya Kaskazini umetarjumiwa kwa lugha 35 mashuhuri duniani. Katika ujumbe huo …
Page 5 of 6