Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Hamburg, Ayatullah Reza Ramezani ameitaja hatua ya walimwengu ya kuipokea vizuri mantiki ya dini ya Kiislamu na ya madhehebu ya Ahlul Bayt AS kwamba …
Mwanaharakati mmoja wa masuala ya usalama na amani wa Marekani, David Paul ambaye ni mjumbe chama cha Kikristo cha kupigania haki za wachache katika nchi za Marekani na Canada amesema …
Profesa Richard Anderson Falk wa nchini Marekani amesema kuwa, ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, umepokelewa kwa mikono miwili kitamaduni, kifikra na hata katika vyombo vya …
Mratibu wa Jumuiya za Kiislamu katika mji wa Milan nchini Italia amesema kuwa, kuhutubiwa vijana katika barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa Ulaya na Amerika …
Mwanaharakati mmoja wa Kiislamu nchini Marekani amesema kuwa, barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa Ulaya na Amerika Kaskazini imetoa taswira ya Uislamu sahihi na kwamba, …
Mtaalamu mmoja wa masuala ya Kiislamu nchini Marekani amesema kuwa, barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa Ulaya na Amerika Kaskaziniimeongeza mapenzi ya kutaka kuujua uhakika …
Mtaalamu wa utafiti wa Kiislamu nchini Marekani amesema kuwa, barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa Ulaya na Amerika Kaskazini inapaswa kuenezwa baina ya wanachuo wa …
Matic Zorman, mpiga picha wa Kislovenia amesema kuwa, barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei kwa vijana wa Ulaya na Amerika Kaskazini inatoa wito …
Mwanaharakati wa masuala ya kijamii wa Kiislamu nchini Slovenia Bi Faila Poshek, anayesimamia taasisi ya Abraham amesema kuwa ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran kwa vijana …
Mwanaharakati mmoja amilifu katika uga wa masuala ya habari nchini Tunisia amesema kuwa, barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya vijana wa Ulaya na Amerika ya Kaskazini inatoa …
Shirika la Mawasiliano na Utamaduni wa Kiislamu Iran ICRO limetayarisha tarjama ya Barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa lugha 21 duniani. Idara ya masuala ya kimataifa ICRO …
Ammar Zaydi kijana mwanaharakati wa Kiislamu aliyeko katika jimbo la Virginia nchini Marekani amesema kuwa, barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa Ulaya na Amerika Kaskazini …
Mark Goln, mwandishi na mchambuzi wa masuala ya kisiasa wa Marekani amesema kuwa, ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran Ayatullahil Udhma Ali Khamenei kwa vijana wa …
Mwanaharakati mtajika wa masuala ya habari wa nchini Tunisia na mchambuzi wa masuala ya kisiasa  ameashiria ujumbe wa hivi karibuni wa Ayatullahil Udhma Ali Khamenei Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya …
Mchambuzi mmoja wa Kimarekani amesema kuwa barua ya hivi karibuni ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa Magharibi itatoa mchango mkubwa katika kupambana na njama za kueneza …
Alison Weir mwandishi wa kujitegemea wa nchini Marekani, ameutaja ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran kwa vijana wa Ulaya na Amerika ya Kaskazini kuwa, umewazindua vijana …
Hujatul Islam Walmuslimiin Sheikh Alireza Panahiyan amesema kuwa, barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa Ulaya na Amerika Kaskazini imeandaa uwanja kwa vijana kuwapatia walimwengu mafundisho …
Jumapili, 01 Machi 2015 12:40

Barua ya Kiongozi Muadhamu imejaa mawaidha

Mwanasheria mashuhuri na mtaalamu wa siasa za kimataifa kutoka mji wa Arbil, eneo la Kurdistan nchini Iraq amesema barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran kwa vijana …
Kumeshuhudiwa kupungua chuki dhidi ya Uislamu kufuatia barua ya hivi karibuni ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa  Ulaya na Amerika Kaskazini. Akizungumza na Shirika la Habari …
Zeinab Al-Saffar mtangazaji wa kanali ya televisheni ya Al-Mayadeen ya Lebanon ametoa wito wa vijana wa Magharibi kufafanuliwa barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu  Ayatullahil Udhma kwa vijana …
Page 4 of 6