Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Mwakilishi mmoja wa Majlisi ya ushauri ya Kiislamu ya Iran yaani Bunge amesema kuwa barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa Ulaya, imekata kiu ya wale …
Alkhamisi, 03 Disemba 2015 13:28

Wairaq wapongeza barua ya Kiongozi Muadhamu

Shakhsia wa Iraq wamepongeza na kusifu barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei kwa vijana wa Magharibi kuhusu suala la kupambana na ugaidi.Saad al Matlabi ambaye …
Waziri wa zamani wa Iraq amesema kuwa, barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu aliyoandika hivi karibuni akiwahutubu vijana wa nchi za Magharibi imechambua kwa kina asili ya ugaidi …
Profesa Rodney Shakespeare ambaye pia ni mtaalamu wa masuala ya kisiasa wa mjini London, Uingereza amepongeza barua ya pili ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei …
Mkuu wa Umoja wa Maulamaa wa Pakistan amesema kuwa barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei  kwa vijana wa Magharibi ina umuhimu mkubwa na inaonyesha …
Jumatano, 02 Disemba 2015 06:55

Barua ya Ayatullah Khamenei ina ujumbe muhimu

Mwandishi na mchambuzi mashuhuri wa masuala ya kisiasa Mashariki ya Kati amesema kuwa, barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa nchi za Magharibi imesaidiana mno kupunguza …
Msomi mashuhuri wa Marekani, Kevin Berret, amesema barua mpya ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa Magharibi imewapa fursa vijana hao kujua ukweli juu ya njama za …
Jumanne, 01 Disemba 2015 16:55

Wanaharakati TZ wapongeza barua ya Kiongozi

Licha ya barua ya pili ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei kuwalenga vijana wa Magharibi, lakini mwangwi wa barua hiyo umesikika na kuzusha radiamali tofauti katika …
Mchanganuzi mashuhuri wa Nigeria amesema barua ya pili ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei ni yenye thamani na umuhimu mkubwa kwa vijana kote duniani. Haroun al-Baynavi …
Bouthaina Shaaban, Mshauri wa Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei anaitazama dunia kama familia moja ya watu. Akiashiria barua ya …
Msomi wa masuala ya kisiasa Lebanon amesema Barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana Wamagharibi imeonyesha sura halisi na nzuri ya Uislamu. Dakta Talaa Atrisi wa Chuo …
Jumapili ya jana tarehe 29 Novemba Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu aliwatumia barua muhimu vijana wa nchi za Magharibi na kubainisha kwamba, hii leo ni watu wachache mno ambao …
Shirika la habari la Ufaransa AFP limetoa ripoti na kusema kuwa, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amewaandikia barua ya pili vijana wa nchi za Ulaya na Marekani na kulaani …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, miamala ya kindumakuwili ya Magharibi kuhusiana na harakati ya mwamko katika ulimwengu wa Kiislamu ni mfano wa wazi wa mgongano uliopo katika …
Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amewaandikia barua (ya pili) vijana wote wa nchi za Magharibi na kuyataja matukio ya kigaidi yaliyotokea nchini Ufaransa hivi karibuni kuwa …
Askari wa zamani wa jeshi la majini la Marekani amesema kuwa, barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa Ulaya na Amerika Kaskazini ni mwanzo wa mazungumzo …
Kongamano maalumu kuhusu barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullahil Udhma Khamenei kwa vijana wa Ulaya na Amerika ya Kaskazini limefanyika mjini Tehran chini ya anuani ya “Kutafuta …
Iran imeandaa kongamano la siku moja kuhusu barua ya hivi karibuni ya Kiongozi  Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei kwa vijana wa Ulaya na Amerika Kaskazini. Kongamano …
Meja Jenerali Muhammad Ali Jafari, Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH amesema kuwa, barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa Ulaya …
Mhariri msaidizi wa gazeti la Akhbar al-Yawm la nchini Misri ameisifu barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran kwa vijana wa Ulaya na Amerika Kaskazini na kusisitiza …
Page 3 of 6