Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Alkhamisi, 10 Disemba 2015 07:00

"Barua Kiongozi Mudhamu ina ujumbe wa amani"

Msomi mashuhuri nchini Marekani amepongeza barua ya pili ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei kwa vijana wa Magharibi na kusema kuwa barua hiyo ina ujumbe …
Mtaalamu wa masuala ya kimataifa raia wa Uruguay amesema kuwa, miongoni mwa sifa muhimu za barua ya pili ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa Magharibi ni …
Mwanachama mwandamizi wa Chama Cha Kiislamu Afghanistan amesema barua ya hivi karibuni ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana Wamagharibi inatoa sisitizo la kuufahamu Uislamu kwa njia sahihi.
Hassan Hanizadeh, mchambuzi wa masuala ya kisiasa amesema barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa Magharibi imekuwa na taathira chanya kwa vijana hao. Hanizadeh ameashiria jinsi …
Mwakilishi wa wananchi wa mkoa wa Khuzistan katika Baraza la Wanavyuoni Linalochagua Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa kuamshwa hisia za vijana wa Magharibi ni nukta muhimu katika …
Mwanazuoni wa kidini wa nchini Pakistan amesema kuwa, barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wote wa Magharibi imeandikwa kwa mujibu wa misingi ya kimaadili na kibinadamu …
Barua ya pili ya Ayatullah Ali Khamenei Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran kwa vijana wa nchi za Magharibi na nasaha zake kwao kuhusu suala la kuuelewa vyema …
Mwanachama mwandamizi wa Jumuiya ya Waidh ya Iraq amesema, Barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa Magharibi ni muhimu na ina ufahamu wa kina kuhusu masuala …
Umaskini na ukosefu wa elimu sahihi ya Uislamu ni miongoni mwa mambo yanayochangia vijana kushawishiwa kujiunga na makundi ya kigaidi na kitakfiri na yenye misimamo ya kufurutu mipaka kote duniani. …
Mwakilishi wa Wakristo wa jamii ya Waassyria katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei kwa …
Mufti wa Russia amesema kuwa, barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa Magharibi imebainisha mikakati ya Wamagharibi ya kuwatumia magaidi dhidi ya nchi za Kiislamu.
Jumapili, 06 Disemba 2015 20:02

"Barua ya Kiongozi kwa vijana imejaa hekima"

Mtafiti mmoja wa Kilebanon amesema kuwa, barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa Magharibi ni utatuzi wa kivitendo wa migogoro inayomkabili mwanadamu.
Ali Larijani, Mspika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge, amesema barua ya hivi karibuni ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ni kwa vijana wa Magharibi ni …
Mwanazuoni mashuhuri wa Bahrain Sheikh Abdullah al-Daqqaq amesema barua ya hivi karibuni ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa Magharibi ni ishara ya busara na uono wake …
Mwandishi wa Habari wa Kiitalia amesema kuwa, barua ya pili ya Ayatullah Ali Khamenei Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa Magharibi ni ujumbe uliojaa hekima na uliotolewa …
Mwangwi wa barua ya pili ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei kwa vijana wa Magharibi, umeendelea kusikika sio tu katika nchi za Magharibi, bali kote duniani. …
Mwandishi mmoja mtajika nchini Marekani anaitakidi kuwa barua ya pili ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Ali Khamenei kwa vijana wa Magharibi itapelekea kuwepo muamala mzuri kati ya …
Balozi wa Iran katika Umoja wa Mataifa Gholam Ali Khoshrou amesema barua ya hivi karibuni ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa Magharibi iliwasilisha mtazamo halisi wa …
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran amesema: "Barua ya pili ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa nchi za Magharibi ina thamani kubwa sana kwani ina nukta …
Msomi mashuhuri wa Canada, Denis Rancourt, amesema barua mpya ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei kwa vijana wa Magharibi ni tathmini ya kina kuhusu chimbuko …
Page 2 of 6