Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Mwanachama wa Baraza la Kistratijia la Uhusiano wa Kigeni la Iran Muhammad Mahdi Mustafavi amesema kuwa barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Ali Khamenei kwa vijana …
Ujumbe uliotolewa hivi karibuni wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Ali Khamenei kwa vijana wa Ulaya na Amerika Kaskazini umejadiliwa chini ya anwani ya ‘Changamoto ya Vijana …
Hivi karibuni Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei alitoa ujumbe kwa vijana wa nchi za Magharibi ambapo kati ya mengine amewataka wafanye uchunguzi kuhusiana na …
Kufuatia matukio ya hivi karibuni nchini Ufaransa na mengine mfano wa hayo katika baadhi ya nchi za Magharibi ikiwa ni mwendelezo wa wimbi la kuuogopesha Uislamu katika ulimwengu wa Magharibi, …
Jumapili, 08 Februari 2015 19:58

Ujumbe wa Kiongozi umevunja njama za maadui

Hujjatul Islam Walmuslimin Sayyid Jalal Razavi, mwakilishi wa Fakihi Mtawala (Waliyyul Faqih) huko Hamadan, magharibi mwa Iran amesema kuwa, kundi la kigaidi la Daesh na njama za kueneza chuki dhidi …
Jumanne, 27 Januari 2015 19:25

Umuhimu wa Ujumbe wa Kiongozi kwa vijana

Katibu wa Tamasha la Kimataifa la 'Filamu za Muqawama' amesema ujumbe wa hivi karibuni wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa Vijana wa Ulaya na Amerika ya Kaskazini ulikuwa …
Bismillahir Rahmanir Rahim Kwa vijana wote wa Ulaya na Amerika Kaskazini Matukio ya hivi karibuni ya nchini Ufaransa na mfano wake katika baadhi ya nchi za Magharibi yamenifanya niamue kuzungumza …
Wasomi na wanafikra wa nchini Ujerumani, wameusifu ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei alioutoa kwa vijana wa nchi za Ulaya na …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa ujumbe kwa vijana wa Ulaya na Marekani akisema kuwa, matukio ya hivi karibuni nchini Ufaransa na matukio yanayoshabihiana na hilo katika baadhi ya …
Page 6 of 6