Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jumatatu, 30 Novemba 2015 18:11

Barua ya Kiongozi ni muhimu sana na inapaswa kuzingatiwa

Barua ya Kiongozi ni muhimu sana na inapaswa kuzingatiwa

Jumapili ya jana tarehe 29 Novemba Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu aliwatumia barua muhimu vijana wa nchi za Magharibi na kubainisha kwamba, hii leo ni watu wachache mno ambao hawana habari kuhusiana na nafasi ya Marekani katika kubuni au kuimarisha na kulipa silaha kundi la al-Qaida, Taliban na makundi mengine maovu yanayofungamana na makundi hayo. Ayatullah Ali Khamenei amezungumzia matukio mbalimbali yakiwemo mashambulio ya hivi karibuni ya kigaidi nchini Ufaransa. Salum Bendera amezungumza na Bwana Ally Hussein mwanaharakati wa Kiislamu na mtaalamu wa masuala ya kijamii wa Mombasa Kenya ambaye anaanza kutoa tathmini yake kuhusiana na barua hiyo ya Kiongozi Muadhamu. Bonyeza hapo chini kusikiliza mahojiano.

Sauti na Video

Andika maoni


Msimbo salama (Security code)
Upyesha (Refresh)