Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jumapili, 03 Januari 2016 11:38

Barua ya Kiongozi Muadhamu ina thamani kubwa

Mwandishi na mtafiti wa Sayansi ya Kiislamu wa nchini Italia amesema kuwa, barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa Magharibi ina thamani kubwa sana na ni …
Mark Dankof, mtaalamu wa masuala ya kisiasa nchini Marekani amesema barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa Magharibi inalenga kuwaamsha na kuwatahadharisha vijana sio tu wa …
Mchanganuzi mmoja wa masuala ya siasa nchini Marekani amesema barua iliyoandikwa na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa Magharibi inalenga kulizindua na kulifahamisha tabaka la vijana ukweli …
Mkuu wa Jumuiya ya Wasomi wa Madhehebu ya Ahlul Bayt mjini Istanbul, Uturuki amesema kuwa, barua ya pili ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa Magharibi inabainisha …
Katibu Mkuu wa Mkutano wa Maaskofu Uswisi amesema kuwa, barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa Magharibi ina ujumbe wa kibinadamu.
Mhadhiri mwandamizi katika Chuo Kikuu cha Lethbridge nchini Canada amesema barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa Magharibi imejaa ukweli wa kimaanawi ambao unahusu watu wa …
Jumanne, 22 Disemba 2015 05:06

"Barua ya Kiongozi ina ujumbe wa matumaini"

Mtaalamu mmoja wa masuala ya kisiasa wa nchini Afghanistan amesema kuwa, barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei kwa vijana wa Magharibi ilikuwa na ujumbe …
Mtaalamu mmoja wa masuala ya kimataifa wa nchini Mexico amesema kuwa, barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa nchi za Magharibi ina umuhimu mkubwa.
Ali Iqbal, mtaalamu wa masuala ya kisiasa wa nchini Afghanistan amesema kuwa, barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa Magharibi ina nafasi muhimu sana katika kubadilisha …
Mwandishi wa habari wa Afghanistan amesema kuwa, barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa Magharibi ina ujumbe wenye kuwaamsha vijana hao.
Jumanne, 15 Disemba 2015 06:52

Barua ya Kiongozi kwa vijana ni ya kimantiki

Barua ya pili ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana Wamagharibi ni ya kimantiki, amesema Daniel Tout mchambuzi wa masuala ya kisiasa kutoka Slovakia.
Mwanachama wa Tume ya Haki za Binadamu ya Kiislamu (IHRC) yenye makao yake mjini London, Uingereza amesema kuwa barua iliyoandikwa na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei …
Huku barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa Magharibi ikiendelea kuakisiwa kwa wingi na vyombo vya habari duniani, utawala wa Saudi Arabia unafanya juu chini kuhakikisha …
Jumapili, 13 Disemba 2015 18:31

Vatican yapongeza barua ya Kiongozi kwa vijana

Afisa mwandamizi wa makao makuu ya Kanisa Katoliki duniani Vatican ameitaja barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa Magharibi kuwa ni muhimu na yenye taathira.
Mtaalamu mmoja wa masuala ya kisiasa amesema kuwa, barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa Magharibi imeakisiwa kwa wingi na vyombo vya habari duniani.
Jumamosi, 12 Disemba 2015 11:28

Waafghani wapongeza barua ya Kiongozi Muadhamu

Vijana na wanachuo wa jimbo la Badakhshan nchini Afghanistan wameipokea kwa mikono miwili barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa nchi za Magharibi.
Mwakilishi wa Faqihi Mtawala Katika Jumuiya ya Hilali Nyekundu ya Iran amesema barua ya hivi karibuni ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa nchi za Magharibi ni …
Mhadhiri mmoja wa Chuo Kikuu wa Kipalestina amesema barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa Magharibi ni njia ya utatuzi wa matatizo yanayotokana na siasa za …
Sheikh Ali Ammar Mwazoa mwanaharakati mashuhuri wa Kiislamu wa Tanga, Tanzania amesema kuwa, barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei kwa vijana wa nchi za …
Mchanganuzi mmoja mashuhuri wa nchini Lebanon ameipongeza barua ya pili ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa Magharibi na kusema kuwa, risala hiyo inatoa fursa kwa ulimwengu …
Page 1 of 6