Uchambuzi

Uchaguzi wa rais nchini Tunisia

Leo Watunisia wamefika katika vituo vya kupigia kura kwa ajili ya kumchagua …

Uchaguzi wa kimaonyesho nchini Bahrain na kushadidi ukandamizaji

Jumamosi ya jana tarehe 22 Novemba wananchi wa Bahrain waliotimiza masharti walielekea …

Mauaji mashariki mwa DRC

Waasi wa Uganda wameuwa watu wasiopungua 80 katika shambulio lililofanyika kwenye mkoa …

Mazungumzo ya Vienna katika njia panda

Duru ya kumi ya mazungumzo ya nyuklia kati ya Iran na kundi …

Mahojiano na Ripoti

Kongamano la Katiba, Bwawani Zanzibar

Katika mwelekeo mpya wa mabadiliko ya katiba ya Tanzania, inaonekana wadhiha kuwa sasa Wazanzibari wameamua kulizungumzia kwa kina suala hilo …

Kashfa ya Escrow nchini Tanzania

Taarifa ya Mkaguzi wa Hesabu za Serikali nchini Tanzania kuhusu kashfa ya wizi wa shilingi bilioni 321 katika akaunti ya …

Mpasuko katika Bunge la Afrika Mashariki EALA

Mpasuko umeibua miongoni mwa wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki EALA huku spika wa bunge hilo Bi. Margaret Zziwa, raia …

Baraza la Makanisa Kenya lalalamikia kuanzishwa makanisa kiholela

Baraza la Makanisa nchini Kenya limelalamikia vikali baadhi ya watu kujianzishia kiholela makanisa na kufanya hali inayoshuhudiwa nchini Kenya hivi …

Mauaji ya Kimbari

Mauaji ya Kimbari (6)

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Karibuni katika sehemu hii ya …

Mauaji ya Kimbari (5)

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Hii ni sehemu ya tano …

Mauaji ya Kimbari (4)

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Hii ni sehemu ya nne …

Mauaji ya Kimbari (3)

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Karibuni wasikilizaji wapenzi katika sehemu …

Kundi la Daesh linaungwa mkono na wakoloni

Shaksia wawili wa Kisuni na Kishia wanaoshiriki katika kongamano linalohusiana na tishio la makundi ya kitakfiri na misimamo ya kuchupa …

Mazungumzo ya Zarif, Kerry na Ashton yalikuwa mazuri

Duru moja ya karibu na timu ya mazungumzo ya nyuklia ya Iran imesema leo kuwa, mazungumzo ya pande tatu baina …

Ghannouchi asisitizia umuhimu wa uchaguzi wa Rais

Mkuu wa chama cha an Nahdhah cha nchini Tunisia amesema kuwa kufanyika uchaguzi wa Rais katika nchi hiyo ni matunda …

“Misri inashirikiana na Wazayuni dhidi ya Wapalestina”

Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS ameituhumu serikali ya sasa ya Misri kwamba, inashirikiana na utawala …

Michezo

Iran yaigaragaza Korea Kusini katika mechi ya kimataifa ya kirafiki

Timu ya taifa ya soka ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeigaragaza timu ya soka …

Ligi Kuu ya Soka Uingereza: City yaibwaga United 1-0

Timu ya soka ya Manchester City imeendeleza ubabe wake dhidi ya majirani zao Manchester United …

Entente Setif ya Algeria wafalme wa soka Klabu Bingwa barani Afrika

Timu ya soka ya Entente Setif ya Algeria imetawazwa kuwa mabingwa wa klabu bingwa barani …

Rais Kikwete: Utawala wa soka Tanzania ni mbovu

Rais Jakaya Kikwete wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema timu za Taifa na Klabu …

Makala ya Wiki

Uchawi na mazingaombwe katika mtazamo wa dini Tukufu ya Kiislamu

Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujumuika nami katika kipindi kingine cha makala …

Siri ya kubakia hai tukio adhimu la Ashura hadi leo

Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujumuika nami katika kipindi kingine maalumu ambacho …

Tuzo ya Nobel kwa Malala Yousafzai, binti mdogo raia wa Pakistan

Hamjambo wapenzi wasomaji na karibuni kujumuika nami katika kipindi kingine cha Makala …

Je, muungano dhidi ya kundi la Daesh ni jaddi au ni wa kimaonyesho tu?

Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujumuika nami katika …

Jamhuri ya Kiislamu ya Iran; Mfumo wa Kiislamu na wa Wananchi (6)

Assalamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Karibuni kuwa nami katika kipindi hiki kinachotoa mwanga wa kuuelewa Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu unaotawala …

Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain (66)

Asaalaam Aleikum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Kipindi kilicho hewani kama kawaida …

Dakta Sarafraz ateuliwa kuwa mkuu mpya wa IRIB

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amemteua Dakta Muhammad Sarafraz kuwa Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu …

Hekima za Imam Sajjad AS katika wakati nyeti na mgumu mno

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Karibuni katika dakika hizi ambazo ndani yake tutazungumzia kuuawa shahidi Imam Ali bnil …

Utawala wa Kizayuni, Mzaliwa wa Ugaidi (12)

Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya makala hii ya Utawala wa Kizayuni, Mzaliwa …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (17) + Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …

Uislamu na Mtindo wa Maisha (43)

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Karibuni kuwa nasi tena katika sehemu nyingine ya makala ya Uislamu na Mtindo …

Vijue vyakula vinavyoimarisha afya ya ngozi

Ni matumiani yangu kuwa mu wazima wapenzi wasikilizaji na ni wakati mwingine umewadia kutegea sikio kipindi chenye faida tele cha …